Monday, April 3, 2017

MKARATUSI

Mkaratusi  unatumika kutibu maradhi ya ngozi, fangasi ya miguu, kifua na mafua, homa, huleta harufu nzuri, kufukuza mbu, hutumika kutengenezea losheni, krimu, sabuni za manukato, shampuu, pamoja na kuchua mishipa na misuli. Zaidi wasiliana nasi kwa simu namba +255 715 203045 / +255 786 203045.

1 comment:

  1. Harrah's Atlantic City, NJ Hotel - Mapyro
    Mapyro is a real time driving directions service that provides 안성 출장안마 driving directions to Harrah's 진주 출장안마 Casino and other entertainment properties 전라북도 출장안마 in Atlantic 전라북도 출장안마 City, 광주 출장샵 NJ.

    ReplyDelete

FAIDA ZA KOMAMANGA

Tunda la Komamanga. FAIDA KUMI ZA KOMAMANGA; 1.Lina uwezo mkubwa wa kuzuia ugonjwa wa kansa 2. Linasaidia kukinga magonj...