Tunda la Komamanga. |
FAIDA KUMI ZA KOMAMANGA;
1.Lina uwezo mkubwa
wa kuzuia ugonjwa wa kansa
2. Linasaidia
kukinga magonjwa ya moyo
Lina uwezo wa
kuondoa Cholesterol mbaya ijulikanayo kama (LDL) na kuongeza Cholesterol nzuri
ambayo haina madhara mwilini, ijulikanayo kama (HDL), hii husaidia kuondoa kasi
ya kupata kansa. Juisi ya komamanga
inasaidia kwa kiasi kikubwa damu kutembea na afya ya mwili kwa ujumla.
3. Huupa afya mshipa
wa moyo wa Arteries.
4. Husaidia
kurekebisha presha ikae sawa.
5. Husaidia
kuimarisha mfumo wa meno kinywani, kwa wale wenye tatizo huwa linaondoka kwa
kula sana tunda hilo.
6.Komamanga husaidia
pia kutokomeza ugonjwa wa kuharisha, kwa mtu anayeharisha akitumia juisi yake
anapata nafuu.
7. Husaidia
kupunguza uzito na kukuweka sawa.
8. Huongeza hamu ya
kula.
9. Husaidia usagaji
wa chakula mwilini.
10. Hutibu ugonjwa
wa kupungua kwa damu mwilini.
No comments:
Post a Comment