Wednesday, April 12, 2017

FENESI NA MAAJABU YAKE KITIBA



Tunda la Fenesi.
MFENESI NA TIBA YAKE:
Tunda hili ni tunda lililodharaulika sana na watu wanakimbilia kwenye matunda ya gharama na kusahau tunda lenye thamani kubwa kiafya huku likiwa na thamani ndogo sana kipesa. 

Mbali na utamu wa tunda hili. Hata walaji hula kwa sababu ya utamu huku wakitupa tiba sahihi ambayo ni maganda na mbegu ndio yana faida kubwa sana.

Faida za Fenesi;
Ngozi ya FENESI yaani ile ganda lenye vipelevipele. Ukichemsha na kunywa utapata faida zifuatazo kiafya;
  •  Hushusha sukari mwilini kwa haraka sana.

  • Hutibu pumu

  • Huimarisha mifupa

  • Huongeza kinga ya mwili na kukufanya usisumbuliwe na magonjwa

  • Ni kinga ya cancer yaani hutaumwa na cancer

  • Huimarisha mmeng’enyo wa chakula kwa waathirika wa HIV.

  • Na ile ngozi tamu ya njano ambayo watu hula, Huzuia upungufu wa damu kwa mlaji wa FENESI, Huleta vitamin A na B6, na Huleta nguvu.
Mfenesi.

Mbegu Zake:
Kausha mbegu zake juani na utwange upate unga kisha uhifadhi kwa matumizi yenye faida zaidi.
  • Ukichanganya na maziwa ukapaka sehemu ngozi imeharibika asubuhi na jioni kwa wiki mbili sehemu hiyo itakuwa safi.  Hufanya uso kuwa laini.  
  • Changanya unga wa mbegu za fenesi katika maziwa na asali. Kisha paka usoni asubuhi na jioni basi uso utakuwa laini sana. 
  • Huongeza nguvu za kiume. Changanya unga wa mbegu katika maziwa fresh asubuhi na jioni tendo la ndoa halitakusumbua. 
  • Chemsha mbegu zake kisha unywe supu yake na utafune mbegu hizo. Huondoa presha kwa mwenye presha ya kupanda, pia ukitafuna mbegu huleta protini.
Source: Kona ya Afya.

No comments:

Post a Comment

FAIDA ZA KOMAMANGA

Tunda la Komamanga. FAIDA KUMI ZA KOMAMANGA; 1.Lina uwezo mkubwa wa kuzuia ugonjwa wa kansa 2. Linasaidia kukinga magonj...